Pages

Tuesday, May 18, 2010

Sarah Michelle Gellar in Tanzania



Wadau, nimefurahi kuona hii, sikujua kama Sarah Michelle Gellar amekuja Tanzania na anaifahamu Tanzania na hata kutoa misaada hapa.

Tuwe tunawekana wazi basi wadau tuweze kuitangaza nchi ipasavyo!

~Angela.

2 comments:

  1. watanzania bado hatujajua kutumia opportunities zinazojitokeza..yaani hatujui tunataka nini au tuambiane nini...labda umbea!

    thanks Angela kwa hili.

    Mdau J, rdk

    ReplyDelete
  2. Asante mdau, ni kweli tunatakiwa kupata taarifa kama hizi za maendeleo ambapo wadau wanaweza kuwa na mchango wa muhimu kwa watu kama hawa wenye fedha na influence kubwa.

    ~Angel

    ReplyDelete