Pages

Tuesday, August 16, 2011

KUKU WA NYAMA WAPO - ANGELA CATERING SERVICES

Hello Wapendwa!

Tshs 5,000/= kwa kuku

Napenda kuwaarifu kwamba sasa Angela Catering Services inauza kuku wa nyama waliolelewa vyema na Miss. Angela Matiku mwenyewe.

Tupo Bahari beach na pia tunafanya delivery kutokana na ukubwa wa oda at least zaidi ya kuku 10.

Simu: 0656-043033

Karibuni Sana!