Pages

Friday, February 17, 2012

ANGELA CATERING SERVICES!



Karibuni sana kupata mapishi ya Angela Catering Services kwenye shughuli mbali mbali iwe ni harusi, kitchen party, send off na hata BBQ tunafanya shughuli zote kubwa na ndogo... kama unapanga kufanya party nyumbani kwako wasiliana nasi na kutakaa pamoja tupange Menu nzuri kutokana na vyakula unavyopenda wewe na tutafika on time na kusevu chakula kwa utaratibu mzuri. Nina staff wachangamfu wenye kujua maadili ya customer care. Tupigie simu namba 0754 710433 au 0656 043033.

No comments:

Post a Comment