Pages

Wednesday, November 23, 2011

CHARITY EVENT - UKARIMU HUANZA NYUMBANI



MPANGO "SITIRI/STARA : TUVAE SOTE"


Je, una nguo zilizo katika hali nzuri lakini hauzivai na ungependa kuzitoa kwa wale wasio na uwezo kiukweli? Tunajiweka sawa kutoa nguo kwa wasiojiweza eneo ni Kondo Bahari Beach kata ya Kunduchi tarehe 10 Desemba, 2011 chini ya usimamizi wa Mama Warioba ambaye ni afisa mtendaji.

Tujulishe na tunaweza kufuata ulipo wasiliana nami bibie Angela N.M. (0754 710433).

No comments:

Post a Comment