Ndugu zangu, nina furaha kubwa kuwaambia kwamba sasa Angela Catering Services imeanza kazi rasmi tangu Januari 2011.
Tunapika na kuserve vyakula katika shughuli mbali mbali, harusi, birthdays, misiba.
Tunapatikana Bahari Beach.
Simu: 0754710433/0656043033
Email: amatiku@gmail.com
Menu zipo kuanzia 5,000/=, 10,000/=, 12,000/= na 15,000/= kutokana na upendeleo wako.
Karibuni sana, wapishi ni makini na wahudumu ni wachangamfu wanaojua maana ya huduma kwa mteja na kwamba mteja ni mfalme!
TEA YAANZA UTEKELEZAJI MIRADI YA AMALI ZANZIBAR
2 hours ago